Shalom-Aleykum Wakuu
Marry Eid kwa Wakrislamu wote jukwaani hapa ✨️✨️✨️, msherekee kwa furaha, pia msiwe wachoyooooo,
Pasaka Mubarak inakuja jamani, tumeshakubaliana kila sikukuu tunatokea wote, sasa tupeane location kwenye kunanunia. Si mnajua uchumi ni mbaya, uchumi unakaba, tupeane fursa za...