Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Machi 19, 2026 ameongelea kuhusu ucheleweshwaji wa kesi kusikilizwa licha ya serikali kuongeza ajira za majaji wapo wengi, pia kuhusu mtuhumiwa kuwekwa rumande kwa muda mrefu...
Kulingana na mijadala iliyojitokeza kuhusiana na Kesi ya Mgombea Urais Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, Kuzuiliwa KUgombea Urais na Tume huru ya Uchaguzi ikidaiwa hana sifa za kuwa mgombea, Chombo cha habari EATV imemuhoji Wakili Maduhu William, wakili wa kujitegemea ambaye alieleza kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.