wakili dickson matata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakili Dickson Matata: Uchaguzi unatakiwa uwe huru na wa haki

    Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata wakati akizungumzia uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki katika Uchaguzi...
  2. Mindyou

    Wakili Dickson Matata: Katiba tuliyonayo imepitwa na wakati. Afrika Mashariki nchi ambazo hazina Katiba Mpya ni zile ambazo haziongozwi kidemokrasia

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kuwa nchi zote ambazo zina udikteta hazina Katiba Mpya
  3. R

    GE2025 Wakili Dickson Matata: Unaingiaje kwenye uchaguzi ambao Rais ambaye ni Mgombea ndiye anayeteuwa Mwenyekiti, Makamu na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi

    Wakili Dickson Matata akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea Suala la Uteuzi wa watendaji wa Tume huru ya Uchaguzi ambapo Katiba inasema Rais ndiye mwenye Mamlaka ya kuteuwa Mwenyekiti, Makamumwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi...
  4. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi. Taarifa kamili hii hapa Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji...
Back
Top Bottom