Wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa Sea Taxi tumekuwa tukikumbana na changamoto ya salio kupotea kwenye kadi zetu. Mara nyingi unaweka, kwa mfano, shilingi 1,000 asubuhi ukitarajia zitakutosha kwa safari ya kwenda na kurudi, lakini unapofika jioni mashine inaonesha huna salio.
Tatizo hili...
Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ?
Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo...
Wasalam,
Utaratibu mbovu na kukosa utaratibu kwa hizi ICD (Inland Container Depot) waswahili tunaita bandari kavu kunapelekea foleni kwa sisi tunaotoka na kuingia Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere.
Majira ya asubuhi kwa hii wiki yote, tumeanza kupata changamoto mpya hasa tunaotumia barabara...
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma,
Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?
Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli?
Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari...
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Wakazi wa Kigamboni siku ya Jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ ambayo iliyofanyika Geza Ulole wilaya ya Kigamboni.
Kampeni hiyo inalenga kuenzi vyakula vya asili na kuimarisha mshikamano wa kijamii huku ikikuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.