wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

    Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki. Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican? Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la Hija mwaka 2024 kwa wakatoliki. Gharama ni Tsh Milioni 7.

    Kama Tangazo linavyo jieleza.. Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji .. Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja Tuka msikilize Baba Mtakatifu. Tukaone masalia matakatifu. Tukaone...
  3. JamiiForums Tanzania TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ? Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  5. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

    Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wala habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI: ROME (AP) — The Vatican...
  7. JamiiForums Tanzania Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…