waingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Huenda ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa na Wajerumani, kwenye empty space, na baada ya kuharibiwa kabisa kwenye WWI, ikajengwa tena na Waingereza

    Huenda ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa na Wajerumani, kwenye empty space, na baada ya kuharibiwa kabisa, kwenye vita ya kwanza ya dunia, ikajengwa tena na Waingereza. Wajerumani walikuwa taifa lenye a protestant majority, na a huge roman catholic minority. Waingereza walikuwa taifa lenye a...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA wasibezwe. Tujifunze kutoka kwa waingereza

    Nawashauri wale ambao wanapata shida kusoma zaidi ya paragraph moja waishie hapa. Nilichoandika ni kijigazeti hivyo yatawatia hasira bure. Hivi karibuni kumetokea vijimaneno vikiashiria kuwa wameishiwa pumzi na kuwa wafadhili wao wamewatema. Kwa mtazamo wangu ni mapema mno kutangaza kifo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Waingereza Wadai Prince William anakaa kama dalali

    Waingereza wengi wanadai mrithi wa kiti Cha ufalme mfalme mtarajiwa kama Baba Yake king Charles akifa, prince William anafanana Kama real estate agent Yani dalali. Muonekano wake umekaa kushoto kishambashamba na kicomunisti ukilinganisha ye ni mfalme mtarajiwa. Hii inatokana na muonekano wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…