Jennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani...