wahanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

    John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea. John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kila aliyetenda uovu awajibishwe na waliotendewa waende kushtaki na si kulalamika tu

    Huu ni wendawazimu. Ingekuwa hivi kule Magerezani kusingekuwa na wafungwa hata mmoja. Wote wangekuwa wameomba msamaha na wakasamehewa. Wanasiasa wezi huwa wanaamini wao si Watanzania wa kawaida. Huamini wao ni watu special so wanahitaji special treatment. Huku ni kuwatusi Watanzania. Kauli za...
Back
Top Bottom