wafilisiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

    Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha...
  2. Z

    Wabadhirifu wa fedha za umma wafilisiwe mali zao

    Kwanza kabisa natoa pongezi kwa waziri Mkuu kwa moto alio uwasha kwa kufanya ziara ya ukaguzi wa miradi yote ya Serikali inayo endelea kwenye kila Mkoa nchini. nafuatilia kwa karibu kila ziara za ukaguzi Mkoa wa Iringa, Katavi, Tabora, Pwani n.k, imebainika karibu kila mradi kuna...
Back
Top Bottom