wafalme

Several sultanates on the Comoros, an archipelago in the Indian Ocean with an ethnically complex mix, were founded after the introduction of Islam into the area in the 15th century. Other uses depending on the island could also be styled fani, mfaume and ntibe. Unlike sultans in many other Arab nations, these sultans had little real power. At one time alone on the island of Ndzuwani or Nzwani (today Anjouan), 40 fanis and other chiefs shared power of the island; Ngazidja (today Grand Comore) was at many times divided into 11 sultanates. This article addresses the major ones.
The term Shirazis (derived from the former Persian capital Shiraz) is a reference to Iranian roots, in some dynasties. The sultans of Hamamvu (Washirazi sultans) is a surviving dynasty that claims origins in Persia line and carries an extant connection to the Washirazi people of the East African Coast.
The following five cities have been collectively proposed as a UNESCO World Heritage site:

Mutsamudu
Domoni
Itsandra
Iconi
Moroni
They have not yet been inscribed as such.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  2. KERO Tanesco ni Wafalme wa huduma Mbovu Tanzania

    Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka namba moja (Dodoma makao makuu) ambayo kimsingi namba hiyo ni geresha ya kuonekana nao wanasikiliza...
  3. U

    Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

    Mithali 31:3
  4. Mithali 1612 Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki

    ……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
  5. Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  6. 1 Samweli 8:18 Kumbe hizi siasa Mungu haingilii kwa Sababu binadamu walitaka kuongozwa na Wafalme na Rais badala ya Mungu mwenyewe

    Sabato Njema! Kesho nitakuwa Kanisa la Kimara Korogwe. Ukisoma Kitabu cha 1 Samweli 8 utakutana na Kisa cha kisiasa ambacho Waisrael wanakataa Kuongozwa na Mungu kama Mfalme wao. Kumbuka hapo Awali Waisrael hawakuwa na ufalme wa kibinadamu kama mataifa mengine. Wao waliongozwa na Ufalme wa...
  7. Niliona makaburi ya wafalme yamebomoka

    Makaburi yamebomoka mizizi imekatika, Limebaki shina tu, Zile zama za zaman zimeisha, Kiburi na dharau zilikuponza, Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili, Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi, Ulimkufuru Mungu maksudi, Utupu wako uko wazi kila mtu anauona, Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu...
  8. B

    Oooh Malkia Athalia!

    2 Wafalme 11:1-17,19-21 [1]Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme. [2]Ila Yehosheba, binti wa mfalme Yehoramu, umbu lake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia, akamwiba miongoni mwa hao wana wa mfalme waliouawa, yeye na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…