wachumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mallia

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

    Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa. Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi. Tukutane hapa!! Nitaanza na mimi binafsi. Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006! Nilikuwa na demu wangu yeye alikuwa anasoma kozi ya...
  3. farusofia

    JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

    Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita. Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani. Nikataka kujua anaitaka ya nini...
Back
Top Bottom