Wakuu,
Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi
Soma Pia: Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba
Huyu Mchimbaji hapa anasema inakuwaje...
Habari za jioni.
Natafuta wachimbaji wawili wadogo wa dhahabu ambao wameshawahi kuuza mzigo mara 2 au zaidi. Kuna biashara nzuri ya kufanya.
Mwenye connection aniunganishe naye tafadhali !!
Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana...