wabunge wa viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dk Ave- Maria Semakafu: Ningetamani kuona Gen-Z (wanasiasa wanaochipukia) waende kwenye viti maalumu

    Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo wakashindane. “Ningetamani kuona Gen-Z (wanasiasa wanaochipukia) waende kwenye viti maalumu, sisi watu...
  3. Erythrocyte

    Ruzuku ya vyama vya siasa haitokani na Wabunge wa Viti Maalum

    Hili ni jambo muhimu sana ambalo wana JF mnapaswa kulifahamu, kwamba ruzuku ya vyama vya siasa hutolewa kutokana na Kura za Jumla ambazo Chama kimepata kutoka kwenye Uchaguzi Mkuu husika. Kwa mfano, Jumla ya Kura ambazo Chama kinapata kwenye Majimbo yote ndio zinazopigiwa mahesabu ya kujua hata...
Back
Top Bottom