Nimewaza tu kwamba kulikuwa na kipindi ambacho huyu ndo alikuwa ni moja kati ya think tanks ya CHADEMA
Kama Mbaga Jr anavyopendaga kusema, inasikitisha sana
-------------------
Mbunge wa Bunda Mjini mkoani Mara, Ester Bulaya, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu kilichotokea...
Kwa sasa kama kuna wanasiasa wasioleweka, wasioweza kuaminika au kukubalika popote, basi kundi la wabunge wa Covid 19 ndio kinara. Kisiasa ni kama wamechanganyikiwa hivi, hawajui pakushika na hawajui pakuacha, chochote kilichopo mbele yao chenye kutoa mwanga wa matumaini wa maisha yao ya kisiasa...
Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!!
Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa kama wabunge 19 waliofukuzwa chama wanataka kurejea waje wakieleze chama waliingiaje bungeni.
Lissu ametoa kauli hiyo wakati wa mahojiano na kituo cha habari cha Bongo FM siku ya Ijumaa, Januari 24, 2025, ambapo ameonesha mashaka juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.