waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  2. Sudan: Majaji wakemea mauaji ya waandamanaji

    Majaji na Waendesha Mashtaka kadhaa Nchini humo wamekemea mauaji ya zaidi ya Waandamanaji wapatao 70 tangu Jeshi lililofanya Mapinduzi na kuchukua Madaraka. Sudan imeshuhudia mfululizo wa maandamano tangu Oktoba 25, 2021 ambapo waandamanaji wamekuwa wakidhibitiwa kwa mabomu ya machozi na silaha...
  3. Sudan: Idadi ya waandamanaji waliouawa tangu Jeshi kuchukua madaraka yafikia 71

    Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji. Mgomo umeitishwa baada ya watu saba kuuawa Januari 17, ikiwa ni siku iliyotajwa kuwa mbaya zaidi tangu...
  4. Khartoum, Sudan: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji

    Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani. Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
  5. Thailand: Waandamanaji wanashinikiza Waziri Mkuu na Serikali yake kujiuzulu

    Maelfu ya waandamanaji wakiwa na magari na baiskeli walikusanyika leo kwenye mji mkuu wa Thailand, Bangkok kumtaka waziri mkuu Prayut Chan-O-Cha kujizulu kutokana na jinsi alivyolishughulikia jana la virusi vya corona. Waandamanaji hao wamejitokeza kwa wingi na kufanya mikusanyiko mikubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…