waache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

    ALAMA YA 666 TUIPOKEE, ITATUSAIDIA KWA MENGI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa waliosoma jumbe zangu nyingi watagundua kuwa Mimi ni mwandishi wa maandiko huru. Nayaandika haya Kwa wapenda Uhuru, wenye Fikra huru, lakini Uhuru wenye maarifa yenye akili. Sikatai Dunia inamakundi...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania waaswa wasome, waache kuogopa ushindani, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24

    Duh! Mama Suluhu ameamua hatolinda uzembe, aidha ujitume na kupambana au uachwe nje, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24. Ifahamike mpaka muwekezaji anaingia gharama zote za kuomba kibali kwa ajili ya mgeni, anamgharamikia usafiri na mambo mengine mengi ni dhahiri anamhitaji, sasa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania RAS Tanga soma hiyo, hii tabia ya kuifanya Tanga kama 'shamba la bibi' waache

    Ninakudokeza bosi kwamba viongozi wa hapo Tanga wakihamishwa kutoka huko walikotoka walikuja na watu wao (lugha ya sasa niseme chawa wao) Aliyekua RAS hapo alitokea Pangani na alikuja na kijana mmoja hivi anayeitwa Gibson ikawa yeye ndio ameshika hatamu ndani ya ofisi hiyo. Wengine wakimvisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…