vyumba vitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀 Ukubwa wa nyumba mita urefu mita...
  2. JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  4. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya GHOROFAni ( Apartment) Inauzwa upanga Ina vyumba vitatu (3) vya kulala

    Bei - TZS Milioni 300 Ghorofa ya kwanza, jengo lenye ghorofa 3 Sifa zake: Vyumba 3: 1 Master Bedroom: Bafu+choo ndani (self-contained) 2 Vyumba vya kawaida: Bafu ya pamoja (shared bathroom) Ziada: Jiko kamili Sebule (living room) Eneo maalum la kula (dining area) Mahali: Upanga - Eneo...
  5. JamiiForums Tanzania Tunatafuta Nyumba ya vyumba vitatu vya kupanga

    Tupigie kama una nyumba yenye vigezo hivyo 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  6. JamiiForums Tanzania Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba yenye vyumba vitatu (3) tshs.165 milioni, Kinyerezi/kibaga

    .....
  9. JamiiForums Tanzania NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.27 MILIONI, KINYEREZI-LIMBANGA.

    ....
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  11. JamiiForums Tanzania Pagale la vyumba vitatu linauzwa tshs.10 milioni, Kibaha msufini

    ..
  12. A

    JamiiForums Tanzania Gharama msingi vyumba vitatu

    Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba vinne vs nyumba ya vyumba vitatu ipi nzuri

    Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba kuna wakati inakuwa kubwa mnabaki na familia chache ata kufanya marekebisho inakuwa inakushinda...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani ya vyumba viwili, kimoja masters, jiko, sebule, public toilet, dining

    Habari wakuu nahusika na uchoraji ramani, kwa mahitaji ya ramani mbalimbali za majengo nitafute whatsapp 0765898884 Gharama zetu ni nafuu.
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  16. JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba vitatu

    Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet. Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Napangisha Nyumba ya vyumba vitatu Kiseke-Mwanza

    Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…