Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au kuzama.
Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa...
Habari!
Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie.
Pia tunafanya kazi yeyote ya casting.
Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu.
Tupo Mbeya mjini.