Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari, ametoa wito kwa wakazi wa Dar kuripoti kwa vyombo vya dola makundi ya watu ambayo hayaeleweki vizuri ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa kwa yeyote ambaye bado ana viashiria vya kuvunja amani katika mkoa.
Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.
Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga...
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo...
MALALAMIKO KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU WOLFGANG M.TURUKA.
Tangu tarehe 14/9/2020 ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha wakamzika kusiko julikana.
Ofisi ya RPC Ruvuma walifungua jalada la uchunguzi tangu tar. 28/2/2024...
Anonymous
Thread
kupotea kwa tito turuka
polisi tanzania
tito wolfgang turuka
toto turuka
ukatili wa polisi
unyanyasaji wa polisi
vyombovyausalamatanzania
watu wasiyojulikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.