Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa wito kwa wananchi kuacha mara moja kufanya shughuli za kibinadamu kama vile uchenjuaji wa madini na kilimo karibu na vyanzo vya maji, ili kuepusha madhara ya mafuriko yanayolikumba eneo hilo mara kwa mara.
Akizungumza Oktoba 15, 2025 wakati wa...