vyama vya siasa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Tunahitajiana CCM bila upinzani thabiti haiwezi kuwa bora. Yafaa nini CCM ikishinda vita hii halafu wakafa watanzania wengi?

    Wasalaam wana JF wote. Chama cha Mapinduzi (CCM) kina kila sababu ya kubadili mbinu za kivita. Kama tetesi zinavyoenea kwamba kuna utekaji,kuumizana,kubambikiana kesi,kuuwawa nk mbinu hizi zote ni kwa minajili ya kusalia madarakani ,kwa mtazamo wangu ni liability kwa chama na taifa kuliko...
  2. S

    PreGE2025 Ubinafsi umefanya vyama vya siasa kutotumia nafasi ya kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi kuwalazimisha CCM kukaa nao mezani na kubadili kanuni

    Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
Back
Top Bottom