Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa kwa mujibu wa Katiba hivyo hakuna anayeweza kwenda kinyume nalo akisisitiza haruhusiwi mtu yeyote...
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.
Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
Kwa Image tuliyokuwa nayo tuliaminishwa Tanzania ni nchi ya Democrasia nchi ya vyama vingi uhuru wa kuchagua viongozi tunaowataka. Lakini kwa Uchaguzi wa Oktoba 29.
Tanzania haina toafuti na Burundi, Rwanda, Uganda, kuingia madarakani lazima utokee Msituni sio kwenye box la kura ni Uongo
So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025.
Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu.
Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
Tanzania Haina Demokrasia ya Kweli ya Vyama Vingi Ni Udanganyifu Ulioratibiwa na CCM
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Badala yake, tumeendelea kuishi ndani ya mfumo wa chama kimoja uliovaa sura mpya chini ya ushawishi mkubwa...
Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama.
3. Kila...
Haya ni maoni binafsi maana kwa Sasa inaonekana kushabikia siasa za upinzani ni kosa la kukuletea umauti. Wakusoma 12 kwa napendrkeza mfumo wa nyama vingi ufutwe ili taifa lifuate mrengo wa chama kimoja Cha siasa.
Hatuwezi kuendelea kupoteza maisha ya watu kisa vyama vya siasa na hili ni...
Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-
1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.
2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.
3...
Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii!
Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja!
Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani!
Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
Je tuna vyama vingi kwasababu ya wazungu au Watanzania??
Mfano wa Chadema
1. Mwenyekiti kafunguliwa kesi ambayo haina ushahidi mpaka leo ya uhaini. Yupo Jela
2. Tume imeizuia bila kufuata sheria zozote kushiriki uchaguzi
3. Msajili wa vyama amezuia kulipwa ruzuku
4. Msajili kaengua viongozi...
Ndugu wanajukwaa karibu katika Kalooism na mtazamo wa Afrika ijayo.
Utangulizi,
Waraka wa Amani Kwa Taifa ni kuyafungua yaliyokuwa yamefichwa toka tumboni mwa mzazi na alichokizaa Bahati Bukuku (siku ya msiba usiku wa matanga).Na hakika maneno yana safari ndefu(etymological...
Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.
Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa.
Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
ajenda
bora
hii
kuelekea 2025
kuwepo
mfumo
mfumo wa vyamavingi
no reform
no reform no election
no reforms no election
tanzania
tundu lissu
vingivyamavyamavingi
Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki?
Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa.
Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.
Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana...