Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
Habari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.