viwanja kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bosspraise

    Miradi ya viwanja kigamboni Puna

    Miradi mipya Kigamboni – Puna inapatikana kuanzia milioni 3 kwa kiwanja cha 20*20 meters, yaani sqm 400. Viwanja vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 400 hadi 2000. Puna Beach Plots Kigamboni ipo umbali wa km 38 kutoka Ferry, km 35 kutoka Daraja la Nyerere, mita 500 kutoka barabara kuu na mita...
  2. Harvey Specter

    Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  3. Bosspraise

    Mradi wa viwanja kigamboni Puna kuanzia million 3 viwanja vina ukubwa wa SQM 400 -2000

    Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥 Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna ✅PUNA BEACH PLOT Mita 650 kutoka site mpaka beach 20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3 22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15 ✅PUNA...
  4. Bosspraise

    House for sale Goba half London

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  5. Bosspraise

    Mradi wa viwanja kigamboni puna beach plots&residential plots

    Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡 Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800 🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni 📍 mradi upo umbali wa: Km 38 kutoka Ferry Km 35 kutoka Daraja la Nyerere Mita 500 kutoka barabara kuu Mita 650 kutoka baharini 🌊 💰 Bei: 1 sqm = TSh 22,000...
  6. KakaKiiza

    Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  7. fogoh2

    Wale tulio uziwa viwanja na halmashauri ya manispaa Kigamboni pradi wa tundwi songani pemba mnazi tukutane hapa kujua hatma yetu

    Ni miaka miwili sasa tangu 2023 serikali ipo kimya ,malipo tulishakamilisha lakini hadi leo hati zetu hazijatoka na hatujui hatma yetu nini,tukutane hapa wadau wote tujadili nini cha kufanya ili kupata haki zetu
  8. 6 Pack

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Niaje waungwana, Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure. Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
  9. B

    Plot4Sale Kiwanja Kigamboni Title Deed, Urgent sale

    Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo. Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs. , pM kama upo interested Asante.
  10. K

    Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
Back
Top Bottom