vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

    "Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mambo ambayo yanamtambulisha Muafrika kwa urahisi!

    Wadau nimewawekea orodha happy chini nawewe uwe huru kuongezea Tafadhali lugha ya staha itumike kujadili uzi huu maalumu Karibuni Vyombo vya udongo Kukaa kabatini na kutumika pale tu anapokuja mgeni Kuoigia mswaki nje ya nyumba hasa nyuma Kujisaidia haja ndogo kwenye ndoo au kopo mida ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kukagua ubora wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya, wanaanza na Muhimbili Hospital

    "Wizara ya Afya kuanza kukagua ubora katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini," hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Profesa, Abel Makubi katika mkutano wa viongozi wa vyama vya kitaaluma vya Afya uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Prof. Makubi amesema kuelekea uboreshaji wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wamiliki wa vituo vya redio na luninga: Tuondolerni hao wachambuzi uchwara wa soka!

    Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Tanzania kuna upunguzu wa Vituo vya Polisi 470

    Taarifa ya upungufu wa vituo vya polisi Nchini Tanzania imewaibua wadau wa haki za binadamu, wakidai kuwa chanzo ni kukosekana kwa haki. Jana Aprili 5, 2022, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni aliwasilisha bungeni taarifa ya upungufu wa vituo vya Polisi vya daraja B...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Vituo vya watu wenye mahitaji maalum vinahitajika Mwanza

    Wakuu Salaam Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…