Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa.
Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana ( Jasmine Mumbi ) akipiga Magoti Kuwaomba Kura za Ndio Wajumbe wa MKUTANO Mkuu Maalumu wa UVCCM Taifa .
Tina Chenge mke wa Mzee wa Vijisent, Andrew Chenge, ameibuka kinara katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu mkoa wa Simiyu, baada ya kupata kura 631 kati ya kura halali 1,029 zilizopigwa.
Kura hizo zilipigwa katika Mkutano Maalumu wa UWT mkoa wa Simiyu uliowakutanisha...
Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha mapinduzi(UWT)na kuelendelea kupeperusha bedera ya CCM kwenye bunge lijalo la...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii.
Mimi nikiwa kiongozi na mwanachama wa CCM, Ninatoa mawazo yangu kwa sababu zifuatazo:
1. Muda wa...
Wakuu,
Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.