Serikali ya Tanzania imesema kuwa inalaani vikali kupotezwa kwa lazima, utekaji nyara, kukamatwa kiholela, na njia nyingine yoyote isiyo halali ya kunyima watu uhuru.
Hayo yamesemwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato...