Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo.
Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu.
Moja ya...
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Wakuu,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutojihusisha na vitendo vya rushwa.
Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kagera, Ezekia Senkara...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
chama
elimu
giza
haki ya kukosoa
katiba
kiboko
kukosoa serikali
kwani
macho
maradhi
sana
serikali za mitaa
ukweli
umuhimu wa kutii katiba
uoga
uongozi
viongozi wa serikali
vitendovyarushwa
wabinafsi
wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.