Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki.
Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza.
Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani.
Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...