Vyombo vya habari nchini Israel, vikinukuu afisa mmoja wa serikali, vimeripoti kuwa Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Alireza Tangsiri ambaye anadaiwa kuagiza kufungwa kwa Mlango-bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz) ameuawa katika shambulio la...
Maneno ya aliyekuwa mkuu wa CIA ya kwamba D.Trump hana mipango madhubuti kuhusiana na Iran sasa yanatimia,juzi Trump alitishia kupiga miundo mbinu ya umeme ya Iran endapo hatoweza kuachia mlango wa Hormuz.
Haikupita siku ambapo hio jana kamanda mkuu wa IRGCC alijitokeza na kusema endapo Iran...
Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates.
Kwa mujibu wa Royal Thai Navy, wanamaji 20 wameokolewa na jeshi la wanamaji la Oman huku juhudi zikiendelea kuwatafuta...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani na Israel zililazimishwa kuishambulia Iran ili kujilinda kwakuwa Iran ilikuwa inajiandaa kufanya mashambulizi .
Soma Waziri wa Ulinzi wa Israel asema jeshi la nchi hiyo litaua mrithi yoyote wa Ali Khamenei
Trump amesema “Kutokana na jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.