Ndege ya Israel aina ya F-35 yapiga chini ya Iran aina ya YAK-130, yaani wataalam wanaita air-to-air takedown.
Hii vita inanipa raha hadi naumwa.
Kwenye maonyesho ya kijeshi mataifa hupenda kuonyesha mindege ikipita, ila sasa hapa huu ndio uhalsia wenyewe, nani ndiye top-dog, ndege ipi ndio...