vishandu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

    ===== Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameonekana nchini Dubai hivi karibuni akiwa kwenye mapumziko, taarifa ambazo zinafuta uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwake wiki kadhaa tangu ajiuzulu Taarifa za vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Dkt...
  2. Triza95

    JamiiForums Tanga Mjini hali si salama, kikundi cha uhalifu kinachojiita VISHANDU, wanahatarisha Usalama wa watu

    Hello Jamii, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya Tanga Mjini. Kuna taarifa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa vikundi vya uhalifu...
  3. Azniv Protingas

    JamiiForums Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

    Hivi karibuni katika eneo la Buguruni kumekuwa na unyang'anyi ambao hufanywa kwenye mida ya saa 10 mpaka saa 11 alfajiri. Wezi hao wamegawanyika katika makundi mawili; kuna ambao hutembea kwa vikundi na hubeba silaha kama visu na ambao hutumia bodaboda. Wanawavizia watu ambao wanaenda kazini...
Back
Top Bottom