viongozi wateule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  2. JamiiForums Tanzania Trump awalazimisha viongozi wateule wake kuvaa viatu vya brand anayoipendelea

    Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa. Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

    Kupitia falsafa ya 4Rs, Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...
  6. JamiiForums Tanzania Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

    Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…