Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
Katika kipindi hiki nyeti cha historia ya taifa letu, ni jambo la busara na uzalendo kwa viongozi wetu wastaafu—kama Jaji Joseph Warioba, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na wengine waliolitumikia taifa kwa hekima na busara—kujitokeza na kumsihi Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua za...
Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia.
Rejea kina
Arfi
Slaa
Zito
Sumaye
Lowasa
Safari
Nk
Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu.
Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi!
Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96
Lakini kuna hizi mambo kwa baadhi tu ya watu lakini wengine wanalia na njaa
Kuna haja gani wakuu wa majeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.