Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:
Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas.
Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na...
Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea
Who are the Hamas leaders in Qatar?
Jeshi la...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF)
Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar.
Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano pamoja kukataa kuwaachia mateka wanaowashikilia
Uamuzi huo wa Qatar umetokana na ushauri wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.