GT
Habari ndiyo hiyo huko chamani kwa sasa ni mwendo wa kuwindana tu. Hamuwezi kuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyosonga mtaelewa.
Ndo mtajua kwa nini Mpango aliachia umakamu wa Rais pia Samia hakumtaka Nchimbi awe makamu wake.
Hesabu iko hivi, walutheri na waislamu watapiga kura nyingi kwa...
Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika uchaguzi mkuu, zaidi ya viongozi 200 wa dini wa mikoa ya kanda ya kaskazini wameonyana, asitokee wa kuvuruga amani ya nchi.
Akizungumza Oktoba 22, 2025 katika semina ya amani iliyofanyika Moshi Mjini, ikiwahusisha viongozi wa dini mbalimbali wa mikoa ya...
Jioni Ya Leo Viongozi Wa Dini Wakiongozwa Na #SheikhMwaipopo - Wamezungumza Na Waandishi Wa Habari Kuhusu Amani Ya Nchi Yetu, Huku Wakikemea Vikali Maandamo Ambayo Yamepangwa Kufanywa Na Baadhi Ya Watu Wachache Kwa Maslahi Yao Binafsi.
Wakati Wakizungumza Na Waandishi Wa Habari Wamewahasa...
"Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.
Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.
Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual...
Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato...
Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa...
Kalamu ya Samia inaongea waendelea kuyasema na kuyamulika yale yote aliyoyafanya Rais Samia kuanzia mjini mpaka vijijin kuwa kalam ya mama Samia imepita kila eneo.
Leo March 17,2025 viongozi wa dini wa pande zote kupitia kampeni ya kalamu ya Samia inaongea wamezungumza na waandishi wa habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.