ving'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu ving'amuzi vya Azam

    Wakuu habari za saa hizi, Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri? Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
  2. JamiiForums Tanzania Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

    Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho. Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
  3. JamiiForums Tanzania Ving'amuzi navyo vyaanza kupandisha bei za vifurushi

    Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you [emoji119][emoji119]
  4. A

    JamiiForums Tanzania Azam TV kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu?

    Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi. Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
  5. JamiiForums Tanzania LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental kwa wale wazoefu nahitaji kujua kuhusu bei ya kununua vifurishi na channels zilizopo. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Bei za ving'amuzi vya AZAM. Je, ni kukomoa Wananchi au?

    Nimekuwa nikifatilia bei za vingamuzi mbalimbali hapa nchini nimegundua Azam ni moja ya vingamuzi vinavyouzwa kwa bei ya juu kabisa ukilinanisha na watoa huduma wengine nchini. Nimejiuliza maswali mengi kwa nini bei zao ziko juu zaidi mpaka hadi sasa sijapata jibu la uhakikia. Wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…