vikindu

The Vikindu Forest Reserve (Hifadhi ya Msitu wa Vikindu, In Swahili) is a protected area located in Mkuranga District of Pwani Region in Tanzania that covers an area of 17.1 km2 (6.6 sq mi). Vikindu Forest Reserve is situated on a plain between 40 and 80 meters above sea level, about 15 kilometers inland from the Indian Ocean and about 17 kilometers south of Dar es Salaam on the main road to Kilwa. The main tarmac Dar es Salaam to Kilwa Road, which is part of the eastern edge of the forests reserve, provides access in all weather conditions. To the immediate south of the forest reserve is the village of Vikindu (on the major road).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu kuzuiwa kupita Mwandege unawasumbua abiria

    Madereva wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu tunazuiwa kupita Mwandege kisa wanasema Bajaj haziruhusiwi kuvuka mkoa na ukipita na abiria unaandikiwa hadi vyeti vitano kwa wakati mmoja. Hakuna utaratibu inasemekana ni mbinu ya watu wa daladala kuzuia Bajaj ili wao wafanye kazi japo abiria...
  2. NANGAI MSUMI

    JamiiForums Tanzania HOUSE FOR SALE 🏡 VIKINDU 60M Tzs

    UREFU Mashariki- 82. Futi. Kwa Magharibi- 71 Futi. UPANA Kusini - 56 Futi . Kwa Kaskazini -52 Futi. Sifa zake. Ina security, Pia nimeweka Mfumo wa system Camera. Kisima kipo, Stores zipo 3. Nyumba 4 na Moja Master. Public toilet 2 ndani 1 na nje 1. Ukweli utafurahia na hutojuta...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

    Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi. Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia. Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama...
  4. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania TFS safisheni madudu ya Vikindu ecological Garden ni aibu

    Kwa waliowahi kutembelea Vikindu Ecologial garden watakuwa wamewahi kukutana na ujinga fulani wa wafanyakazi wa pale. Unapokuwa mkimya basi wao wanadhani wamekupata kwelikweli na hudhani wanajua mengi. Inasikitisha kuwa hawawezi kusoma uso wa mtu au hata namna anavyouliza maswali kujua kuwa huyu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa ni maeneo ya Vikindu hospital njia ya Vianzi. Kwa waenda kwa miguu. Mvua ikinyesha maji yanajaa hivi. Mamlaka husika wapo kimya

    Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa vyuo na shule kupita kila siku .
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali halisi ya Barabara ya Vikindu Kazole ni masikitiko kwa kweli

    Mimi ni Mkazi wa Vikindu Kazole Mtaa wa Cheta Bich, kero kubwa ya huku kiukweli kipindi kama hiki cha mvua barabara haipitiki hata kwa pikipiki hali ni mbaya sana. Zaidi ya sana natowa wito kwa diwani wetu anaitwa Mahundu angalie kwa jicho la kipekee sana.
Back
Top Bottom