vijana wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  2. JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda. Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
  3. JamiiForums Tanzania "Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

    Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo! Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

    Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili. Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi wote wawili mpaka nimekuwa mtu mzima. Kufika kwangu hapa ni Juhudi za bila kuchoka za Mama na Baba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…