vijana wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya

    Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Imebainika kuzuia Kongomano la Vijana wa CHADEMA Mbeya ni kuzuia Mh Mbowe asijibu hoja feki za Msigwa

    TAYARI imebainika, woga wao ni kuzuia Mhe. Mbowe asitumie jukwaa rasmi ili kuulezea ulimwengu uhuni na wepesi wa hoja za mwana CCM Msigwa. CCM wanatumia Polisi na Msajili ili kumlinda Msigwa, Yaani CCM wanatangaza vita kisha wanakufunga mikono ili usijibu mapigo. Kama mnajiamini Sana na huyo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

    Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process. Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Temeke: Vijana zaidi ya 20 wa BAVICHA wadaiwa kukamatwa na Polisi

    Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana. Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
Back
Top Bottom