vijana fanyeni kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Wanetu mnasemaje? Jux kaomba radhi kweli au kachamba umbea? au tuendelee kufanya kazi tu?

    Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana...
  2. K

    Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Mama Lishe: Maandamano ya Oktoba 29 yametuathiri sana. vijana acheni maandamano fanyeni kazi kwa bidii

    Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na ushawishi na makundi yenye kuwahamasisha kufanya vurugu na kuharibu amani, umoja na mshikamano wa Watanzania. Wito huo umetolewa majuma kadhaa baada ya...
Back
Top Bottom