viganja vya mikono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Elisante Mariki mbaroni ,ni yule house boy aliyefyeka viganja vya mikono yote vya House girl,Marangu Moshi

    Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya mikono yote miwili ya Scola Bernad binti wa miaka 23 mfanyakazi wa kazi za ndani house girl . Tukio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Yesu hakupigiliwa misumari kwenye viganja vya mikono!

    Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama picha nyingi zinavyoonyesha. Sababu ni kwamba wangepiga misumari katikati ya kiganja na kumning'iniza...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Siri nzito kuhusu alama zako za mkononi

    Utulivu wa nafsi ni mafanikio Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi...
Back
Top Bottom