Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar...
Victor Mhagama amepitishwa na chama chake (ccm) kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho Mkoani Ruvuma.
Ni baada ya kifo cha Mama yake mzazi ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo hilo la Peramiho kufariki dunia.
Victor Mhagama, son of the late Peramiho MP from Ruvuma Region, Jenista Mhagama, has emerged as the winner of the CCM party primaries to contest the parliamentary seat for the constituency.
The by-election in Peramiho is being held to fill the seat left vacant following Jenista Mhagama’s...
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
Wakuu,
CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣
Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27.
Sasa imebaki kuangalia raia watasemaje, kama wapindue meza au waache waende na mrithi!
Utafikiri tumekuwa nchi ya kifalme😒
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.