Mvuta bangi alijiona uchi akadhani amevaa suti akauliza wenzake suti imemtoa aje . Mmoja waoakamjibu poa sana ila tu tai umefungia chini sana.
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."
Tafakari ya babu...
"Mtoto...