Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
Ifike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile.
Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi.
Tuna elimu mbovu sana hatuwazidi chochote hao wenye nchi wasio chapa chapa hovyo watoto shuleni iwe...
Nimekuwa nikiitafakari sana hii adhabu ya viboko mashuleni kila ninapoona taarifa ya mwanafunzi kuumizwa na mwalimu kichukuliwa hatua kwa kumuumiza mwanafunzi
Ni wazi kwamba kuna wagonjwa wengi wanakufa hospitali kwa uzembe wa madaktari, kuna abiri wengi wanakufa kwa ajiri kwa uzembe wa...
Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...