vibali vya uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    KERO Responded Kuna kero kubwa ya Mkwamo wa vibali vya uhamisho (Utumishi HQ) kwa Watumishi walioomba kuhamia vituo

    Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku hadi siku. Licha ya kufuata kwa usahihi hatua zote za kuomba uhamisho kupitia mfumo (ESS)...
  2. Roving Journalist

    Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  3. K

    DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  4. B

    KERO TAMISEMI toeni vibali vya uhamisho

    Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo? OR TAMISEMI
Back
Top Bottom