uzuri wa mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfilisti

    Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  2. Mi mi

    Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  3. Tauceti Rigel

    Mwanaume Keep This in Mind: Mwanamke Anayejijua ni Mzuri Kwa Asilimia Kubwa ni GOGO Kitandani

    Mark my words, and mark them bloody well. Kamwe—nasema kamwe—usiruhusu macho yako yakakupeleka shimoni. Uzuri wa mwanamke ni kama tangazo la bidhaa kwenye runinga: linang’aa, linavutia, lakini mara nyingi ndani yake hakuna chochote cha maana. Ukifanya maamuzi kwa kutumia tamaa zako badala ya...
  4. Moto wa volcano

    Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  5. marashi ya pwani

    Pisi kali mnavyoninyanyapaa kwani mnadhani nina uwezo wa kujiumba mwenyewe?

    Kuna siku nilikuwa pub flan nishakura ngorondo zangu kiasi namanisha kilevi Cha bei rahisi Kikanipa confidence ya kuongea na msichana sijui mwana mama kifupi PISI KARI Kwakuwa nilikuwa na vitu kichwani yaani ilikuwa full confidence Nilikuwa na uwezo wa kuongea hata na mtoto wa mboe...
Back
Top Bottom