Kwanza nimeumia, nimebubujikwa na Machozi kama Lucas Mwashambwa Chawa wa mama abubujikwae Machozi ya Furaha Mama akigawa Baiskeli huku Utekaji ukishamiri.
Unaweza jiuliza Hawa Wazeee waloindaa Dira hii, ambao wengi 2050 watakua wamekufa, wamewaza ni aina gani ya Kizazi watakachotuachia...
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.