Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka.
Mkurugenzi huyu akubali kuingizwa kwenye orodha ya wauwaji kwa sababu zifatazo:-
1. kama mwaka mmoja uliopita akikataa...