Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine...